Podcasts
Enjeux de société
Sweeping raids leave Turkey’s LGBTQI+ community fearing what comes next
10:15
Swahili (generic)
Podcasts
2026
Unapopata magonjwa ambayo yanaathiri kinga ya mwili wako,ina maana kuwa kinga yako inaweka mifumo yote ya mwili kwenye hatari. Unaweza kujikuta unapata magonjwa kama Lupus,ugonjwa wa Tezi Koo au Mifupo yako kuwa nyepesi kiasi cha kuvunjika kwa urahisi.
Ubainishaji wa magonjwa haya unahitaji subira na ufuatialiaji wa karibu ili kuelewa kila dalili anayoonesha mgonjwa .Gharama yake basi inamanisha ni ya juu na huhitaji muda mrefu.
24 mars 2026
Swahili (generic)
9 Mo